Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 22, 2011

BONANZA LA MICHEZO KUTOKOMEZA UGOJWA WA MALARIA LAFANYIKA SHULE YA NEEMA TRUST

Baadhi ya wanafunzi wakishiliki mchezo wa mpira wa pete kabla ya mechiMwenyekiti akizungumza wakati wa bonanza hilo jana
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Kondo wakiigiza igizo la kupiga vita ugojwa wa Malaria wakati wa bonanza la kupiga vita ugojwa huo lililofanyika katika shule ya Neema Trust Dar es Salaam
Mwalimu wa MIchezo wa Shule ya Sekondari Kondo Josefu Mng'ong'o akiwapatia wachezaji wake maelekezo kabla ya mechi
Kocha wa Michezo shule ya Sekondari Andrew Faza Munuo James akiwaelekeza wachezaji wake kabla ya kuingia uwanjani
Wanafunzi wa shule ya Sekondari ya Cornelious wakiigiza igizo la kupiga vita ugojwa wa Malaria wakati wa bonanza la kupiga vita ugojwa huo lililofanyika katika shule ya Neema Trust Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...