Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, May 14, 2011

NANI MCHACHAFU KUINGIA SOKONI


MSANII wa vichekesho nchini Songoro Ally 'Dizzo' baada ya kutamba na filamu za 'Maiti ya Ajabu' MKuki kwa Nguluwe' na anko JJ amesema amepanga kuwaletea radha tofauti tofauti na kuwabadilisha wasanii akizungumzia filamu yake mpya ya 'Nani Mchafu' aliyoitunga yeye na kuwashilikisha wasanii wakali katika Comedy akiwemo Haji Salumu Mboto' Rajabu Jumanne 'Danny'.

Ambaye alikuwa ameshiliki kikamilifu katika filamu ya nani mtoto wa mama humo amembadilisha na kuweza kufikia kiwango cha kisanii ili kuwapa radha tofautitofauti wadau na wapenzi wa filamu

Filamu hiyo itakayokuwa inasambazwa na kampuni ya B4yuo inatalajia kuingia sokoni mda wowote kuanzia sasa hivyo kuwataka wapenzi kukaa mkao wa kula kwa ajili ya kupata comedy za uwakika ambazo si zakukosa 'alisema' Songoro

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...