Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 24, 2011

Mkutano Wa Siku Tatu Wa Uwazi Na Uwajibikaji Katika Bajeti Kwa Nchi Za Afrika Mashariki Wafunguliwa

|

Mgeni rasmi katika mkutano wa siku 3 wa kujadili uwazi na uwajibikaji katika bajeti kwa nchi za Afrika Mashariki ambae pia ni Waziri wa Afrika Mashariki Samweli Sitta wa tatu kulia akijadili jambo na Mdhibiti na mkaguzi mkuu wa hesabu za Serikali Ludovick Utouh. Wengine ni Mwenyeketi wa kamati ya Bunge ya Fedha na Uchumi Abdalah Kigoda wa kwanza kulia, Mbunge wa Bariadi na mwenyeketi wa kamati ya Bunge ya Hesabu Za Serikali John Cheyo wa pili kulia wakiwa katika mkutano wa siku tatu wa kujadili uwazi na uwajibikaji katika bajeti za nchi za Afrika Mashariki leo asubuhi katika ukumbi wa Ubungo Plazza.

Mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Fedha na uchumi Abdal Kigoda akitoa mada juu umuhimu wa uwazi na uwajibika katika bajeti za serikali.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...