Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, May 11, 2011

MKAZI WA ARUSHA ACHUKUA GARI LA AIRTEL


Mkazi wa Arusha na mshindi wa gari aina ya Toyota corolla iliyotolewa na kampuni ya Airtel katika promosheni ya Jivunie SMS , Abubakar Kifunta (katikati) akitoa ushuhuda wake mbele ya wananchi, mara baada ya kukabidhiwa gari lake kufuatia yeye kuwa ni mmoja kati ya washindi 12 wa magari katika promosheni hiyo. Upande wa kushoto ni Meneja wa Airtel Kanda ya Kaskazini, Stephen Akyoo na kulia ni mshindi mwingine kutoka mkoani humo, Moses Urio. after receiving his vehicle from airtel for being one of 12 winners of vehicles during Jivunie SMS promotion held by Airtel. On the left is Airtel North Zone Manager, Stephen Akyoo and standing on the right is another winner from Arusha region, Moses Urio. Tukio hili la makabidhiano limefanyika jijini Arusha, ambapo thamani ya Toyota Corolla iliyotolewa ni zaidi ya shilingi milioni 26.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...