Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 24, 2011

WASHITAKIWA WA FEDHA ZA EPA WALAMBA MIAKA MITANO JELA


Waliokuwa washitakiwa katika kesi ya wizi wa Sh. bilioni 1.8 katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Farijara Hussein na binamu yake Rajabu Rajabu Maranda wamehukumiwa leo katika Mahakama ya Hakim Mkazi, Kisutu jijini Dar es Salaam, kifungo cha miaka mitano jela na kurudisha serikalini fedha hizo. Picha kutoka Kamanda wa Matukio Blog

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...