Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 22, 2011

BONDIA MWAKYEMBE AMTWANGA MGANDA KWA KO RAUNDI YA SITA

Bondia wa ngumi za kulipwa Benson Mwakyembe wa Tanzania (kushoto) akimtwanga Kakamde Charles wa Uganda wakati wa mpambano wao wa kirafiki uliofanyika mwishoni mwa wiki Mwakyembe alishinda kwa K.O raundi ya sita
mashabiki wa mwakyembe wakiwa na mabango yao


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...