Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 27, 2011

TANZANIA YAPUNGUZA VIFO VYA WATOTO WACHANGA

Waziri wa Afa akisalimiana na watu mbalimbali baada ya kikao

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Haji Mponda (kushoto) akimpatia vitabu vya utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto wa mwaka 2010, Mkurugenzi wa Takwimu za Uchumi toka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Wizara ya Fedha Bw.Morrice Oyuke katikati ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara hiyo Bw. Josibert Rubome

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Haji Mponda katikati akizindua matokeo ya utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto wa mwaka 2010 DAr es Salaam jana kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi kutoka Wizara hiyo Bw. Josibert Rubome na Ofisa Mwandamizi wa Idara ya Teknolojia ya Habari Bw. William Mabusi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...