Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 19, 2011

ZANTEL YAZINDUA HUDUMA MPYA YA HIGH LIFE KWA WATEJA WAKE


Maofisa wa Kampuni ya Zantel wakiwa katika picha ya pamoja na wateja wa huduma ya High Life na maofisa wa hotel mbalimbali nchini ambapo mteja anapata punguzo la asilimia 15 katika matumiziu ya hoteli mbalimbali nchini


Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Zantel Bi. Sarah Mwingune (kulia) akimpatia mteja wa High Life Bw.Jackson Kasongo kifurushi chenye kadi pamoja na vitu mbalimbali vya huduma hiyo Dar es salaam jana ambapo mteja anapata punguzo la asilimia 15 katika matumiziu ya hoteli mbalimbali nchin


Meneja Mahusiano wa Kampuni ya Simu ya Mkononi ya Zantel Bi. Sarah Mwingune (kulia) akimpatia mteja wa High Life Bw.Deesh Grewal kifurushi chenye kadi pamoja na vitu mbalimbali vya huduma hiyo Dar es salaam jana ambapo mteja anapata punguzo la asilimia 15 katika matumiziu ya hoteli mbalimbali nchini


Baadhi ya maofisa wa kampuni ya Zantel wakiwaika picha ya pamoja


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...