Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, May 2, 2011

MWANI NYANGASA NDANI YA KOZI YA FIFA SENEGAL


Mwandishi wa habari za michezo wa gazeti la The African, linalochapishwa na Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, yenye Maskani yake Sinza Kijiweni jijini Dar es Salaam, Mwani Nyangasa (katikati) akifurahia baada ya kukabidhiwa Cheti cha ushiriki wake katika Kozi ya AFP/FIFA ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Kombe la Dunia la Wanawake linalotarajia kufanyika German. Kozi hiyo inatarajia kumalizika wiki hii.
Mwani Nyangasa (kushoto) akiwa na mashosti wake yaani waandishi wenzake kutoka nchi mbalimbali, waliohudhulia kozi hiyo kwa pamoja, hapa wakipiga picha ya kumbukumbu.

" Eheee!, nimekumbuka pozi la picha kama Joti hebu piga picha haraka kabla sijalisahau", Mwani Nyangasa (kushoto) akiwa ni kama anasema maneno hayo huku akifurahia picha hiyo na mashosti wake.

Mwani Nyangasa (kulia) akipozi kwa picha na rafikiye pembeni ya basi wanalotumia kwa usafiri wa ndani ya nchi hiyo katika shughuli hiyo ya Kozi

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...