Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 8, 2011

NASIBU AMTWANGA JUMA FUNDI

Nasibu Ramadhani (kushoto) akipambana na Juma Fundi wakati wa mpambano wao wa kugombania ubingwa lililopigwa raundi 12 na Nasibu kuibuka na ushindi kwa point
Mashabiki wakiendelea kumpa sapoti Juma Fundi
mpambano unaendelea
Juma Fundi (kushoto) na Nasibu Ramadhani wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa pambano lao Dar es salaam jana

mashabiki wakiangalia mpambano

1 comment:

  1. eeeeeeh, much big up kwa MZAZI RESPECT na bondia wake, siku ile nasibu alimwonyesha kazi hujo juma fundi, sema nn, mwnye blogspot vp w2 2ki hitaji video ya ile match 2waipataje?? hata kma inauzwa emb ni email: mbuyuissa@yahoo.co.uk , utanambia humo naipataje na gharama zake!! tnx

    ReplyDelete

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...