Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 17, 2011

NI KWELI KWAMBA WEMA NA DIAMOND WAMEACHANA!!!??????


Hii ni habari iliyotoka kwenye gazeti la Global publishers ambapo siku chache tu kabla ya habari hii, WEMA alitoka kuelezea how much wanapendana na DIAMOND!!!!Juzijuzi tu hapa WEMA SEPETU alijitokeza hadharani na kuanika uhusiano wake wa kimapenzi na Diamond kupitia TAKE ONE ambapo aliweza kueleza mengi sana kuhusiana na mipango yake na Diamond kimapenzi na kimaisha, lakini ghafla metoka habari kwamba WAWILI HAO hawako pamoja tena...
Je ni kweli kwamba wameachana ama ni maneno tu..!!??

kwa habari zaidi stay tuned kupitia blog hii hapa kama ambavyo uliweza kumsikia kwa mdomo wake basi atakupatia majibu yako yote kupitia yeye mwenyewe tena muda si mrefu....

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...