Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, May 19, 2011

MAANDALIZI YA MIAKA 50 YA UHURU WA TANZANIA


Shughuli nzima ya leo ilikuwa ni kukamilisha utengenezaji wa video mpya inayokwenda kwa jina la Miaka 50 ya Uhuru. Audio ya wimbo huo umetengenezwa pale Fishcrab chini ya mtu mzima Lamar, video imetengenezwa na Adam Juma kutoka Visual Lab Next Level.Wasanii walikuwa wengi sana siwezi kuwataja wote ila utawagundua kwa sura na majina nitakayoyaweka chini ya picture.


Godzilla kutoka Salasala


Mbunifu wa mitindo anayejulikana kwa jina la Vida Mahimbo, tishet zote nyeupe mnazoziona yeye na Ally ndio wamezitendea haki.


Keisha akiwa kwenye tabasamu pala sana


Madee akilisikilizia jua maana lilikuwa linapiga


Fella meneja wa Wanaume TMK Family akiwa na Mwana FA wakibadilishana mawazoKampuni ya Visual Lab ikiwa kazini
Dullah wa Planet Bongo nae alikuwepo na crew yake nzima kutoka EATV


Dully na Arafat Ngumi JiweAY


Fid Q


Kassim Mganga


Amin kutoka THT

Mr. Blue na watatu ni Shetta pamoja na Diamond
Ally Rehmtullah mbunifu wa mavazi


Mpoto na Vida

Mwana FA & Rehema


No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...