Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, May 10, 2011

TBL Yapata Tuzo Ya Usafi, Mazingira Na Usalama Kazini

Meneja wa uhusiano wa kampuni ya Bia ya TBL Edith Mushi akiwa ameshika cheti na kikombe cha ushindi wa tuzo ya Afya na Usalama sehemu za Kazi, tuzo ambayo kampuni ya bia ya TBL imepata. Tuzo hizo zimeandaliwa na kutolewa na Mamlaka ya Afya na Usalama sehemu za kazi, mamlaka iliyo chini ya Wizara ya Kazi, Ajira na Vijana

Meneja Afya, Usalama na Mazingira Renatus Nyanda akizungumzia juu ya ushindi ambao kampuni ya TBL imepata. Nyanda alisema kuwa usafi na afya kazini ni moja kati ya vipaumbele muhimu sana vya kampuni ya Bia ya TBL.

Meneja wa Afya Mazingira na Usalama kazini Renatus Nyanda akimkabidhi 
Kikombe na  cheti cha ushindi wa tuzo  za afya na usalama
 kaziniMeneja wa mawasiliano na uhusiano wa kampuni ya Bia ya TBL Edith 
Mushi mapema leo makao ya TBLl Ilala jiini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...