Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Friday, May 6, 2011

GOLDEN MOMENT YA SERENGETI FIESTA DODOMA ILIVYOFANA


Nahodha wa timu ya Mashabiki wa Chelsea John Kanakamfumu
akipokea kombe kutoka kwa afisa mauzo wa Serengeti Breweries Dodoma
Emanuel Bonanza la baada ya kuibuka washindi katika bonanza la Serengeti
Fiesta Soccer Bonanza mjini Dodoma. Rodrick Mwambene, alisafiri kutoka Dar Es Salaam kwa ajili ya kuipa nguvu
timu yake ya Mashabiki wa Chelsea. Maharusi na Golden Moment wakielezea furaha yao mara baada ya upangaji wamakundi katika hotel ya Royal Vilage Dodoma.Bwana Harusi na mnazi mkubwa wa Liverpool na Bibi Harusi ni Chelsea FC, naanamzimia Didier Drogba.(Picha zote na Mdau Peter Ngassa Business Development DirectorR & R Associates LtdP.O Box 105709, Dar Es Salaam, Tanzania)Mashabiki wa Chelsea wakishangilia na kombe lao baada yakuifunga Real Madrid kwa goli moja kwa bila katika mechi ya fainali yaSerengeti Fiesta Soccer Bonanza mjini Dodoma. Katikati ni RodrickMwambene, Shabiki wa Chelsea aliyesafiri kutoka Dar kwa ajili ya kuipanguvu time yake, Bonanza hilo la Serengeti Fiesta ni muendelezo wa Msimuwa Dhahabu unaoendelea.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...