Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, May 15, 2011

MSONDO COAST MORDEN TAARABU WAFANYA KWELI DDC KARIAKOO

Mwimbaji Shabani Dede akiwajibika

Waimbaji wa bendi ya taarabu ya coast morden taarabu wakiimba wakati wa onesho lao lililofanyika mwishoni mwa wiki kutoka kushoto ni Wastara Omari,Aisha Masanja, Hanifa Juma na Samira Rajabu

Mashabiki wa bendi ya msondo ngoma wakicheza sambamba na rapa wa bendi hiyo Romani Mngan'de wakati wa onesho la zote kali lililofanyika Dar es salaam
Mpiga gita la solo wa kundi la Coast morden taarabu, Kipanga Pindo akienda sambamba na mpiga kinanda wa bendi hiyo Ally Kabua wakati wa onesho lao lililofanyika DDC Kariakoo


Mwimbaji wa bendi ya msondo ngoma Hassani Moshi TX JR akiimba sambamba na mpiga gita la rithimu wa bendi hiyo Zahoro Bangwe wakati wa onesho lao lililofanyika DDC Kariakoo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...