Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, January 20, 2013

AFRIKA YA KUSINI YABANWA NA CAPE VADE MICHUANO YA MATAIFA YA AFRIKA, YAKUBALI SARE


Timu za Bafana bafana ya Afrika Kusini na Cape Verde zimetoka uwanjani katika mchezo wao wa ufunguzi wa kuwania kombe la mataifa ya Afrika kwa kutoshana nguvu bila kufungana. Mchezo unaofuata hivi punde ni kati ya Angola na Morocco.Team P W L D GF GA Pts
1 Cape Verde Islands 1 0 0 1 0 0 1
2 South Africa 1 0 0 1 0 0 1
3 Angola 0 0 0 0 0 0 0
4 Morocco 0 0 0 0 0 0 0

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...