Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 17, 2013

MAKAMU MWENYEIKI CCM ZANZIBAR DK. SHEIN, AZUNGUMZA NA VIONGOZI AFISI KUU YA CCM KISIWANDUI


  Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

Shein,akizungumza na  Viongozi wa Tawi la CCM Afissi Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa  Jumuiya mbali mbali za Chama  hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui  Mjini Zanzibar jana,Makamo  Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimana na Viongozi hao ikiwa  ni pamoja na  kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM)
(kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,na (kushoto) Mwenyekiti wa Tawi  Nadra Juma  Mohamed.[Picha na Ramadhana

 Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

Shein,(wapili kulia) akizungumza na  Viongozi wa Tawi la CCM Afissi Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa  Jumuiya mbali mbali za Chama  hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui  Mjini Zanzibar jana,Makamo  Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimana na Viongozi hao ikiwa  ni pamoja na  kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed

Shein,akisisitiza jambo alipokua akizungumza na  Viongozi wa Tawi la CCM Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui,wakiwemo Viongozi wa  Jumuiya mbali mbali za Chama  hicho katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar jana,Makamo  Mwenyekiti alifanya ziara maalum ya kusalimiana na Viongozi hao ikiwa  ni pamoja na  kuimarisha Chama cha Mapinduzi,(CCM) (kulia) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai.  [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...