Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 24, 2013

WANAFUNZI ST JOHN DODOMA WACHOSHWA NA POLISI


Wanafunzi  wa  chuo  cha St John mjini Dodoma leo  waeandamana hadi ofisi  za jeshi la polisi  kulaami mauwaji ya mwanafunzi mwenzao aliyeuwawa kinyama na watu  wasiofahamika hivi karibuni.

Wanafunzi  hao  wakiwa na mabango  yenye  jumbe mbali mbali  wamefanya maandamano hayo mchana wa leo kutoka chuoni hapo hadi makao makuu ya polisi mjini Dodoma kupinga utendaji kazi  wa jeshi  hilo na kulitaka kutoa majibu ya uchunguzi wa kifo cha mwenzao

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...