Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 21, 2013

Mh. Lowassa ahudhuria msiba wa mume wa Mbunge wa zamani wa Temeke, Mama Khadija Kusaga


.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimpa pole mfiwa,Mama Khadija Kusaga wakati alipofika nyumbani kwake Keko Maghorofani jijini Dar es salaam jana.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akimfariji mfiwa, Mama Khadija Kusaga.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli, Mh. Edward Lowassa akiwa katika mazungumzo na Mbunge wa Jimbo la Temeke, Mh. Abbas Mtemvu wakati walipokuwa kwenye msiba huo jana jioni.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...