Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 21, 2013

WAREMBO WANAOWANIA TAJI LA MISS UTALII WAKILAZIMISHA KUTABASAMU 

Baadhi ya Washiriki wa Miss Utalii Tanzania 2012/13 wakiwa wanajitahidi kutabasamu mpaka Mwisho
Warembo hawa ambao ni washiriki wa Miss Utalii 2012/13 wakiwa wanajikakamua kutoa Tabasamu la Nguvu
Zoezi La kutabasamu Linaendelea Hapa
Ilikuwa ni Kazi sana Ambapo Washiriki wa Miss Utalii 2012/13 walikuwa kila mmoja akitaka tabasamu zaidi kama anavyo onekana Mshiriki wa kwanza Kushoto pamoja na anaemfuatia
Mcheki Mshiriki wa Miss Utalii 2012/13 si kwamba amenuna Lakini anawaza ni Jinsi Gani atatoa Tabasamu lake

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...