Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 24, 2013

MAXMILLIAN BUSHOKE AWAPA 5 MASHUJAA BAND


 Kiongozi wa bendi ya Mashujaa, Charz Baba (kushoto) akipeana mkono na aliyekuwa mwanamuziki wa Tanzania, ambaye kwa sasa ni mtangazaji wa moja ya redio ya nchini Afrika ya Kusini, Maxmillian Bushoke, wakati alipofika katika Ukumbi wa Green Acres, Victoria hivi karibuni kushuhudia onyesho la bendi hiyo, ambapo amewapongeza kwa kujituma na utunzi wa vibao vyenye ujumbe na vyenye ushindani katika Tasnia ya Muziki.
 Charz Baba, akiwachezesha wanenguaji wa bendi ya Mashujaa, wakati wa onyesho hilo, lililofanyika hivi karibuni, jijini Dar.
 Wanenguaji wa bendi ya Mashujaa, wakishambulia jukwaa, wakati wa onyesho hilo.
Makamuzi yakiendelea jukwaani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...