Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 21, 2013

MASHINDANO YA KIKAPU YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO


TIMU YA TAIFA TANZANIA  YA MPIRA WA KIKAPU WANAWAKE PIcha na www.burudan.blogspot.com
Mchezaji wa timu ya taifa ya tanzania akijaribu kumtoka mchezaji wa kenya wakati wa mashindano ya kanda tano ya mpira wa kikapu leo PIcha na www.burudan.blogspot.com
TIMU YA TAIFA TANZANIA  YA MPIRA WA KIKAPU WANAWAKE PIcha na www.burudan.blogspot.comMchezaji wa timu ya kikapu wa Kenya Pority Auma akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa tanzania wakati wa ufunguzi wa mashindano ya kanda tano Afrika yaliyozinduliwa Dar es salaam jana kenya ilishinda  74 kwa 32. PIcha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...