Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 24, 2013

RAIS KIKWETE AZURU MAKAO MAKUU YA FIFA
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akiwa katika picha ya Pamoja na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter na Rais w Shirikisho la Soka nchini Tanzania (TFF) Leodegar Chilla Tenga (kulia) wakati Rais Kikwete na ujumbe wake walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum wa FIFA.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, akimweleza jambo Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter (kulia) kuhusiana na Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Leodeger Chilla Tenga. Tenga ambaye pia ni Mwenyeketi wa Baraza la Vyama vya Soka vya Afrika Mashariki (CECAFA).
Rais wa FIFA Joseph Sepp Blatter akimkabidhi Rais Jakaya Kikwete bendera maalum ya FIFA.
Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania, na Rais wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Joseph Sepp Blatter wakiwa katika mazungumzo wakati Rais Kikwete na Ujumbe wake walipo walip0tembelea Makao Makuu ya FIFA mjini Zurich,Switzerland Januari 23, 2013 kwa Mwaliko maalum wa FIFA.

4 comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...