Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, January 29, 2013

MAKAMU WA PILI WA RAIS WA ZANZIBAR BALOZI SEIF IDDI ATOA MAONI YAKE KWA TUME YA KATIBA.


Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akitoa Maoni yake binafsi kuhusu Mfumo wa Muundo wa Katiba Mpya ya Muungano wa Tanzania mbele ya Kamati ya kukusanya maoni hayo inayoongozwa na Jaji Joseph Sinde Warioba.
Mwenyekiti wa Kamati ya kukusanya Maoni ya Katiba Mpya ya Jamuhuri  ya Muungano wa Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba na Timu yake akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi walipofika Ofisini kwake Vuga Mjini Zanzibar kupokea Maoni yake, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo Dk.Salim Ahmed Salim kulia ni Mjumbe wa tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu Agostino Ramadhani.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...