Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, January 19, 2013

MSHINDI WA KOMBE LA MEYA WA KINONDONI KUZAWADIWA BAJAJMeneja Masoko wa Kampuni ya Car and General, Jonathani Masanja akimuonesha Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda pikipiki ya miguu mitatu aina ya TVS King itakayotolewa kwa mshindi wa kwanza wa mashindano ya Meya Cup,  katika hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana. NMB ni mdhamini mkuu wa mashindano hayo. (NA MPIGAPICHA WETU)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...