Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 24, 2013

KIJITONYAMA VETERANS YATOKA SARE YA 1-1 NA TABORA VETERANS


 Mchezaji wa timu ya Tabora Veterans ya jijini Dar es Salaam, Ibrahim Maestro, akijiandaa kupiga krosi, wakati wa mchezo wa kirafiki baina yao na Kijitonyama Veterans, mchezo uliochezwa kwenye Uwanja wa Bora Kijitonyama hivi karibuni. Katika mchezo huo timu hizo zilitoka sare ya kufungana 1-1.
 Mchezaji wa Kijitonyama Veterans, Sufianimafoto (kushoto) akikokota mpira wakati wa mchezo huo.
 Mchezaji wa Kijitonyama Veterans, Majuto Omary (kulia) akipiga mpira mbele ya Ibrahim Maestro, wakati  wa mchezo huo.
Baadhi ya wachezaji waa Kijitonyama Veterans, wakiwa mapumziko kujiandaa kurudi uwanjani kwa dakika 45 za kipindi cha pili.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...