Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, January 24, 2013

KAMATI YA BUNGE MALIASILI NA MAZINGIRA YAPOKEA TAARIFA YA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA NUSU MWAKA YA OFISI YA MAKAMU WA RAIS.


Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Charls Kitwanga (kulia) akizungumza Jambo  na Mbunge wa Jimbo la Pangani Saleh Mbamba (katikatti) Mara Baada ya Kikao cha Bajeti ya Nusu Mwaka kwa  Ofisi ya Makamu wa Rais na kushoto ni Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu. 

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa, akitoa Maelezo ya Matumizi ya Bajeti ya Nusu  Mwaka wa Fedha 2012/2013 Mbele ya Kamati ya Bunge ya Maliasili na Mazingira Kwenye Ofisi za  Bunge Jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya wajumbe wa kamati ya Maliasili na Mazingira James Lembeli wakifuatilia maelezo ya wajumbe wa Ofisi ya Makamu wa Rais wakati wa kupokea  taarifa ya Matumizi ya Fedha za Bajeti ya  Nusu Mwaka wa 2012/2013.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...