Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Saturday, January 19, 2013

KITUO CHA KUSAMBAZA UMEME MJI MKONGWE ZANZIBAR CHAHARIBIKA, Mafundi wahaha kurejesha umeme, Balozi Seif awatembelea.


Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Ndugu Hassan Ali akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif  alipofanya ziara fupi kuangalia harakati za wahandisi wa shirika la umeme kuondosha hitilafu iliyokikumba kituo cha kusambazia umeme mji mkongwe  Darajani mjini Zanzibar.
Wahandisi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) wakijitahidi kurejesha huduma za umeme baada ya kituo cha kusambazia umeme ndani ya mji mkongwe kilichopo Darajani Mjini Zanzibar kupata hitilafu.
Hadi kieleweke!

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...