Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, January 21, 2013

MSONDO WAMTAMBULISHO KAMBI KWA BWEBWE

Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika katika onesho lake maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi wa pili kulia wengine ni Hassani Moshi kushot Eddo Sanga na Juma Katundu onesho lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni Picha na www.burudan.blogspot.com
Mashabiki wa bendi ya msondo music wakicheza kwa furaha wakati wa onesho maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi Picha na www.burudan.blogspot.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...