SIMBA SC WATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI OMAN
Balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh akizungumza na
viongozi, makocha na wachezaji wa Simba walipomtembelea leo nchini Oman.
Nahodha wa Simba SC, Juma Kaseja akizungumza machache wakati timu yake
ilipomtembelea balozi wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh. Simba SC
wapo nchini Oman kwa ajili ya kambi ya kujiwinda na Ligi Kuu ya Vodacom
pamoja na… Balozi
wa Tanzania nchini Oman, Ali Ahmed Saleh akizungumza na viongozi,
makocha na wachezaji wa Simba walipomtembelea leo nchini Oman.
No comments:
Post a Comment