Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 19, 2011

ASANTE MUHESHIMIWA KWA KUFUNGUA NJUIA KWA MZEE KIPARA.


Mbunge wa Kinondoni jijini Dar es Salaam kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Idd Azzan ameguswa na hali ya mzee Kipara na kuamua kumsaidia kiasi cha shilingi laki mbili kwa ajili ya matibabu ya miguu yanayomsumbua mkongwe huyo huyo.

Kwa watu wengine wenye moyo wa kutoa mnaombwa kumsaidia Mzee Kipara ili fedha za matibabu na matumizi madogo.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...