Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 19, 2011

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKIWA KATIKA ZIARA YAKEMUSOMA VIJIJINI


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua bweni la wavulana katika shule ya sekondari ya Kasome wilaynai Musoma Vijijini baada ya kufungua bwni hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiongozwa na Mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere baada ya kuwasili Nyumbani kwake Mwitongo Butiama akiwa katika ziara ya mkoa wa Mara Septemba 18,2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na mjane wa Baba wa Taifa, Mama Maria Nyerere wakati alipomtembelea nyumbani kwake Mwitongo, Butiam Septemba 18, 2011. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...