Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 13, 2011

Rais Kikwete atoa salamu maalumu za pole kwa wafiwa Zanzibar ,Katibu mkuu kiongozi asoma tamko la serikali


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Jakaya Mrisho kikwete akiteta jambo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,wakati wa Dua maalum ya kuwaombea wananchi waliofariki katika ajali ya Meli ya Mv Spice Islander katika viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar. (Picha na Ramadhan Othman wa Ikulu)
Rais Dkt.Jakaya mrisho Kikwete akitoa salamu zake za pole mara baada ya kumalizikia kwa dua ya pamoja iliyokuwa maalumu kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali ya meli iliyotokea Unguja mwishoni mwa wiki.
Katibu mkuu kiongozi Philemon Luhanjo akitoa tamko la serikali kuhusiana na ajali ya meli ya Spice Islander iliyotokea mwishoni mwa wiki.(photos by Freddy Maro)
Viongozi mbali mbali walijumuika kwa pamoja na wananchi katika kuwaombea dua wananchi waliofariki katika ajali ya kuzama meli ya Mv Spice Islander katika maeneo ya Nungwi Mkoa wa kaskazini Unguja juzi,sla ya kuwaombea dua maalum iliswaliwa katika viwanja vya maisara mjini Zanzibar jana.
PICHA NA YUSSUF SIMAI MAELEZO ZANZIBAR.
Baadhi ya wananchi walioshiki katika sala na dua maalum wakiwa katika sala ya maiti ya kuwaombe wananchi waliofariki katika ajali ya meli ya mv Spice Islander katika viwanja vya maisara mjini Zanzibar leo
Maelfu ya wananchi wakimsikiliza Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi akiwahutubia wakati wa dua maalum ya kuwaombea katika viwanja vya maisara Mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...