Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 25, 2011

KUNDI LA T.MOTO KUWASHA MOTO


Wasanii wa Kundi jipya la Muziki wa Taarab, la Tanzania Moto modern Taarab (T-Moto), Mosi Suleiman (kushoto) na Hassan Ally, wakiwa katika Studio za Makunde Production Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, wakati wakirekodi nyimbo zao mpya zitakazokamilisha albam yao ya kwanza ya Aliyeniumba Hajanikosea. Picha na http://www.sufianimafoto.blogspot.com/.

Baadhi ya wasanii wa Kundi jipya la Muziki wa Taarab, la Tanzania Moto modern Taarab (T-Moto), wakiwa katika Studio za Makunde Production Kinondoni jijini Dar es Salaam jana, wakati wakirekodi nyimbo zao mpya zitakazokamilisha albam yao ya kwanza ya Aliyeniumba Hajanikosea. Picha na http://www.sufianimafoto.blogspot.com/.
Aliyekuwa mshiriki katika shindano la kusaka vipaji , Mrisho Rajab.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...