Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 12, 2011

KAIMU MKUU WA MKOA ATEMBELEA KAMPUNI YA MOHAMED ENTEPRISES

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es SAlaam Said Meck Sadiq wa pili kulia akikagua Sukari iliokuwa ikishushwa wakati alipofanya dhiara ya gafra baada ya kusikia watu wasio waaminifu wamepandisha bei ya bidhaa hiyo kulia ni Meneja wa Mabohari wa Kampuni hiyo Bw. Walji Ahmed

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...