Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 27, 2011

MBWANA ,MIYAYUSHO WATAMBULISHA MPAMBANO WAO

Bondia Fransic Miyayusho (kushoto) naMbwana Matumla kulia wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Mabara (UBO) Dar es Salaam , utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao katikati ni mratibu, Mohamed Bawazir.MABONDIA WA KINONDONI
MABONDIA WA TEMEKE

Bondia Mbwana Matumla (kushoto) na Fransic Miyayusho kulia wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Mabara (UBO) Dar es Salaam , utakaofanyika mwishoni mwa mezi ujao katikati ni mratibu, Mohamed Bawazir.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...