Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 20, 2011

Happy Birthday Kamanda Ras Makunja wa FFU


Happy Birthday Kakamanda ketu ! Ras Makunja wa FFU ! 19.September
Leo tarehe 19.September ni siku ya kuzaliwa mwanamuziki,Ebrahim Makunja aka
Kamanda Ras Makunja ,mtunzi,mwimbaji na kiongozi wa bendi maarufu "Ngoma Africa band" aka FFU,yenye makao yake nchini Ujerumani.
Kamanda Ras Makunja alizaliwa Katikati ya jiji la Dar-es-salaama 19.Septemeber mtoto wa kiume wa Bw.Jumanne Saleh Makunja(RIP) na Bi.Moza Hassan Mpili. www.ngoma-africa.com

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...