Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 18, 2011

SBL yazindua kampeni ya Kunywa Pombe kwa Staha


Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Richard Wells akizungumza katika uzinduzi huo.
Wafanyakazi wa SBL waliohudhuria katika uzinduzi huo wakifuatilia matukio.
Mkurugenzi wa SBL, Richard Wells akimkabidhi Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Vuai Nahodha vifaa maalum vya kupimia madereva kiwqango cha ulevi.Kushoto ni Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mahusiano na Mawasiliano.
Mkurugenzi Mtendaji wa SBL, Richard Wells akimsuhukuru Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Shamsi Vuai Nahodha kwa kuzindua rasmi kampeni hiyo ya Unywaji Pombe kwa Staha.
Mabango yatakayotumika kuhamasisha watu kunywa pombe kwa staha na kutoenbdesha vyombo vya usafiri.
Mkurugenzi wa Masoko wa SBL, Ephraimu Mafuru akizungumza baada ya uzinduzi huo kufanyika jijini Dar es Salaam .
"Marafiki hawaruhusu wenzao kutumia kilevi na kuendesha" ndio kaulimbiu ya Kampeni hiyo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...