Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 25, 2011

MAMA SALMA AZINDUA SHULE YA NAKAYAMA

Mke wa Rais Makam Salma, akitembelea kukagua shule ya Nakayama, baada ya kuzindua rasmi leo.
Msanii Vicky Kamata, akiimba pamoja na wanafunzi wa shule hiyo wakati wa uzinduzi huo.
Wanafunzi wa shule hiyo wakiimba kwaya wakati wa uzinduzi. Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...