Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 12, 2011

KAMATI YA MISS TANZANIA YAKABIDHI VYETI KWA WADHAMINI NA WAREMBO


Mkurugenzi wa Giraffe Ocean view Hotel Dr. Charles Bekon akipokea cheti cha utambuo wa kudhamini Vodacom Miss Ttanzania 2011.
kutoka kushoto ni Mrs Dr.Charles,Salha(Miss Tanzania 2011)na Dr Bekon(kulia).

Salha akiwashukuru wadau na kamati ya Miss Tanzania jana usiku katika hafla fupi iliyofanyika Hoteli yenye hadhi ya nyota nne Giraffe Ocean View Hotel ilyopo jijini Dar.
Familia ya Salha wakipiga picha ya pamoja.
Top 3 ya Vodacom Miss Tanzania 2011.
Dr.Charles Bekon akiwa ameweka pozi huku mkewe akimtizama kwa furaha mumewe.
Geneviev looks so hot last night.
Miss Tanga na mama yake.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...