Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 18, 2011

Moto mwingine wateketeza soko la Forest Magorofani mjini Mbeya


Moto mkali uliozuka majira ya saa 9 usiku hii leo umeteketezabaadhi ya vibanda vya biashara na mali katika soko dogo la Forest jijini Mbeya kablaya vikosi vya zima moto vikiongozwa na Mkuu waWilaya Evans Balama kufanikiwakuuzima moto huo. Moto huu umezuka tena ikiwa ni siku chache tu baadaya moto mwingine kuteketeza soko jijini humo wiki hii.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...