Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Thursday, September 22, 2011

MUKAMA ATOA TATHMINI YA KAMPENI ZA CCM


KATIBU Mkuu wa CCM, Wilson Mukama akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi ya CCM wilaya ya Igunga mkoani Tabora, kutoa tathmini na mambo mbalimbali yaliyojiri katika kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Igunga utakaofanyika Oktoba 2, mwaka huu. Kulia ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...