Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Tuesday, September 20, 2011

MSOMA WAINUA MIKONO JUU KWA EXTRA BONGO


Aisha Mbegu akicheza kwa staili ya pekee iliyowashangaza mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
Aisha Mbegu (kulia) akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa VictoriaWapiga Gitaa wakiwajibika kwa pamoja wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
Mkurugenzi wa Bandi ya Extra Bongo Next Level, Ally Chocky akiimba jukwaani wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria.
Hoseah Mgoati (Bass) akicharanga Bass wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa VictoriaSuper Nyamwela akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...