Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, September 21, 2011

STAR TIMES YAPATA WASHINDI WA PROMOSHENI YAO


Mteja wa king'amuzi cha stat Times Bw.Agustino Kulaya akibonyeza kitufe kwa ajili ya kutafuta mshindi wa promosheni ya 'kula tano' Dar es salaam jana inayoendeshwa na kampuni hiyo kushoto ni Meneja Masoko Msaidizi wa kampuni hiyo Bw. Davis Mwijage na Balozi wa kampuni hiyo Bw. Stevin Kanumba

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...