Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Sunday, September 25, 2011

[WANANDOA] LEO NATAKA KUSEMA KITU KIMOJA. HEBU KILA MMOJA...UJUMBE KUTOKA KWA MWANANDOA MROKI MROKI

"LEO NATAKA LEO NATAKA KUSEMA KITU KIMOJA.

HEBU KILA MMOJA WETU ARUDISHE NYUMA MAWAZO YAKE NA AFIKIRIE VILE ALIVYOKUTANA NA MWENZAWAKE, MLIYOZUNGUMZA HADI MKAFIKIA MUAFAKA WA KWENDA KANISANI AU MSIKITINI KUFUNGA NDOA.

HALAFU LEO MNATENGANA TENA WENGINE MKIWA NA WATOTO. WANANDOA TUJARIBU KUWA WAVUMILIVU, MAANA HAKUNA MKAMILIFU HATA MMOJA KATIKA DUNIA HII. IWEJE LEO UMCHOKE MWENZAKO UMWITE MBWA, FISI, NYANI JE HUYO MKEO AKIWA NYANI SI JIKE NAWE NI NYANI DUME?

AU MUMEO AKIWA PUNDA SI NI PUNDA DUME NAWE NIPUNDA JIKE? TUTAFAKARI KABLA YA KUCHUKUA HATUA."

ukisikia Paaa,ujue limeshabutukaa hiloo

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...