Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 12, 2011

Waziri Mkuu Pinda azindua tawi la CRDB na Chuo Kikuu Huria Mpanda


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la benki ya CRDB la Mpanda juzi. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawila Benki ya CRDB la Mpanda baada ya kulifungua juzi. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa CRDB, Martin Mmari. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu,MIzengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania baada ya kufungua tawi la Chuo hicho la Mpanda juzi. Kulia kwake ni Naibu Waziriwa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo na kushoto kwake ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Profesa, Tolly Mbwete. (Picha na OFisi yaWaziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...