Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, September 19, 2011

msaada wa vifaa mbali mbali kutoka ubalozi wa Marekani nchini


Katibu Mkuu wizara ya Afya Dr Jidawi akipokea msaada wa madawa na vifaa mbali mbal vyenye thamani ya dola elfukumi kutoka kwa balozi wa Marekani Nchini Tanzania Alfonso E.Lenhardt kwa ajili ya watu waliopata maafa ya kuzama kwa meli ya MV Spice Islanders
Picha na Yussuf Simai Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...