Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Wednesday, January 2, 2013

MAKARIBISHO YA MWAKA MPYA!


Waumini wa dini ya Kikristo wakisali kwenye ibada ya ya mkesha wa kukaribisha mwaka mpya na kumshukuru mungu kwa kumaliza mwaka uliopita.Ambapo kwenye ibada hiyo ambayo mgeni rasmi alitarajiwa kuwa raisi Jakaya Kikwete lakini aliwakilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira.
Waumini hao wakishangilia mara baada ya kufika saa sita kamili za usiiku
.Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Goodluck Ole Madeye (kulia), Balozi Mdogo wa Marekani nchini, Elizabeth Petro (kushoto), na Mbunge wa viti maalumu (CCM), Mbeya mjini Dk. Mary Mwanjelwa wakiwa kwenye ibada hiyo.
    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais (Uhusiano na Uratibu), Stephen Wasira (katikati), akipunga bendera wakati wa mkesha wa mwaka wa kuliombea Taifa uliofanyika uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana. Wasira alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika mkesha huo ulioshirikisha madhehebu ya Kikristo 50. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mkesha huo Askofu Kenneth Damas kutoka Mighty Revival Ministries.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...