Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 25, 2010

DIDA ALIVYOSHELEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NDANI YA MJENGO WA 100.5 TIMES FM


Nilikuwa nimetulia natuma mambo ndani ya blog jamani mara nashangaa kimya watu siwaoni kumbe wananivizia kunifanyia suprise nusu roho initoke.Ila nawashukuru sana maboss na wafanyakazi wenzangu kwa kuniandalia mlichojaaliwa tuendelee kuwa na umoja sisi daima mbele.
Nikikata keki kimadaha umri si mchezo.


Dj spesso anaekimbiza ndani ya shoo yangu ya mitikisiko kila ijumaa katika sebene, alidhani kanikomoa kunimegea lote chezea.
Thanks helen kwa kuniandalia keki.

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...