Marquee

Pata habari za Jamii,Biashara,Burudani na michezo!!

tangazo

Monday, October 25, 2010

DK. BILAL AKUTANA NA MWASISI WA AFRO SHIRAZ-PEMBA


Mgombea mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akizungumza na Fatma Zahoro (70) ambaye ni miongoni mwa waasisi wa Afro Shiraz, mkazi wa Wete Pemba baada ya kumaliza mkutano wa kampeni uliofanyika jana okt 24 kwenye Uwanja wa Shule ya Kizimbani Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba. Picha na Muhidin Sufiani

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...